Digital Marketing and Online Sales Masterclass
Price
Sh 150,000.00
Delivery typeIn-person class
CapacityUnlimited
Level All levels
Duration 10 weeks
10 Lessons
Language English
Description
Masoko ya Kidijitali na Mfumo wa Kuongeza Mauzo Mtandaoni.
Kuonekana mtandaoni hakutoshi ikiwa hakuna wateja na mauzo. Kozi hii inakufundisha kujenga mfumo kamili wa masoko ya kidijitali unaoanzia kwenye kumtambua mteja sahihi, kutengeneza ofa, kuandaa maudhui, kuvuta leads, kufanya matangazo na kufunga mauzo. Ni kozi ya vitendo kwa wafanyabiashara, marketers na watu wanaotaka kugeuza mitandao ya kijamii kuwa chanzo cha ukuaji wa biashara.
You might be interested in
Sh 100,000.00
0
/0 ratings
-
50 Students
-
10 lessons
-
10 Weeks
Sh 100,000.00
0
/0 ratings
-
35 Students
-
10 lessons
-
10 Weeks
Sh 150,000.00
0
/0 ratings
-
115 Students
-
0 Lessons
-
1 Week
Sh 150,000.00